'#'

BREAKING NEWS: MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2018 HAYA HAPA

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kesho Alhamisi Januari 24, 2019 litatangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2018.

UPDATE:

Shule ya St. Francis ya Mbeya yaongoza kitaifa
>>> Ufaulu kwa mwaka 2018 umeongezeka kwa asilimia 1.29 kutoka asilimia 77.09 mwaka 2017 hadi asilimia 78.38.

>>> Mwanafunzi Hope Mwaibanje kutoka Shule ya Sekondari Ilboru ya Arusha ameongoza kwa ufaulu matokeo ya kidato cha nne

>>> Baraza limewafutia matokeo watahiniwa 252 wa kidato cha nne kutokana na udanganyifu, 71 wakiwa ni wa kujitegemea

>>> Wanafunzi 351 kutika shule ya sekondari St Mathew na St Marcus wamezuiliwa matokeo yao kutokana na udanganyifu na matokeo hayo yatatolewa pindi NECTA itakapojiridhisha

Matokeo ni haya hapa:

CSEE
LINK 1

LINK 2

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 Link 1

MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018 Link 2
Copyright © 2017 TANZANITEONLINE - Thank . You For . Visting .